Idara iliundwa mwaka 1945 wakati wa Vita ya Pili ya Dunia.
HUDUMA ZETU
Idara ya Habari-MAELEZO ina jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na Miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.
Taratibu za leseni
ZINGATIA: Malipo yote kwa ajili ya usajili yatafanyika katika ofisi za MAELEZO Dar es Salaam au Dodoma.